Na Mary Yuda. Kondoa nimiongoni mwa miji yenye Historia kubwa katika ukanda wa kati nchini Tanznaia. Wilaya ya Kondoa inapatikana mkoani Dodoma ambapo nimakao makuu ya Serikali ya Tanzania. . Wilaya ya Kondoa iliyo katika mkoa wa Dodoma wakati wa enzi za biashara ya utumwa mji huo ulitumika kama kituo cha kupumzikia watumwa waliyokuwa wakipelekwa Pwani.